|
|
In Focus
 Serikali mtandao: Katibu Mkuu, Utumishi Bw. George D. Yambesi,kulia, akitumia mfumo wa kielektroniki kupokea barua, nchini Korea.
 A group photo of e-Government Agency Implementation Team and Consultants during Project Management Training
 Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akifungua rasmi Chuo cha Utumishi wa Umma tawi la Mtwara kwa kufungua pazia
 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Utumishi Mh. Hawa A. Ghasia (MB) akisaini kitabu cha wageni nchini Singapore akiwa katika safari ya kikazi
 Permanent Secretary, PO-PSM, Mr.George D. Yambesi reiceives award from CEO round table Chairman, Ali Mufuruki, for his effective and successful leadership in incorporating the business stand in reforming the public service management.
 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Utumishi Mh. Hawa A. Ghasia akifungua kongamano la kuadhimisha miaka kumi ya kifo cha Baba wa Taifa Mwalimu Julius K. Nyerere
 Profesa wa Kigoda cha Taaluma cha Mwalimu Nyerere, Chuo Kikuu cha Dar es salaam, Issa Shivji akiwasilisha mada wakati wa kumbukumbu ya miaka kumi tangu kifo cha Baba wa Taifa Mwl. Julius K. Nyerere
 WASHINDI: Bw. Nigel Msangi, akinyanyua kikombe cha ushindi juu baada ya kukabidhiwa na Makamu wa Rais, Dk. Ali Mohamed Shein katika maonesho ya Nane nane, Dodoma
 Jengo la Serikali-Mtandao lililozinduliwa sambamba na Awamu ya pili ya Programu ya Kuboresha Utumishi wa Umma.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Jakaya Mrisho Kikwete akitembelea banda la Utumishi na kujionea huduma mbalimbali zinazotolewa, Nane nane-Dodoma
 UFADHILI: Mkurugenzi wa Kitengo cha Anuai za Jamii -Utumishi, Bi. Anne Mazala, wa pili kutoka kushoto, akiwa katika picha na watumishi kutoka taasisi mbalimbali za serikali waliopata ufadhili wa Shahada ya Pili hapa nchini
 Waziri wa nchi Ofisi ya Rais-Utumishi Mh.Hawa Ghasia akisoma hotuba wakati wa ufunguzi wa mkutano wa baraza la wafanyakazi wa OR-MUU uliofanyika mjini Morogoro.
 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Utumishi Mh. Hawa A. Ghasia (MB) akiongea na vyombo vya habari kuhusu Watumishi hewa katika sekta ya Afya
|
|
MASWALI NA MAJIBU YA WADAU WA OFISI YA RAIS, MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA WAKATI WA MAONESHO |
|
Kama sehemu ya kuelimisha kuhusu huduma zinazotolewa na serikali, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma (OR MUU) iliratibu Wiki ya Utumishi wa Umma kuanzia 16-23 Juni 2009, Pia ilishiriki maonesho ya kimataifa ya Saba Saba katika viwanja vya Mwalimu Julius K. Nyerere-Barabara ya Kilwa na Nane nane katika viwanja vya Nzuguni mkoani Dodoma 2009. yafuatayo ni maswali yaliyoulizwa na wadau mbalimbali, na majibu yake |
|
Last Updated ( Tuesday, 27 October 2009 )
|
|
Read more...
|
|
|
OPRAS NA MIKATABA YA HUDUMA KWA MTEJA KUONDOA UBABAISHAJI |
|
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Mhe. Hawa A. Ghasia (MB) amesema Serikali imeanzisha matumizi ya Mikataba ya Huduma kwa Mteja na Upimaji wa wazi wa utendaji kazi (OPRAS) ili kujenga misingi thabiti ya kutoa huduma kwa wananchi na kuondoa ubabaishaji. soma zaidi ... |
|
Last Updated ( Wednesday, 16 September 2009 )
|
|
Read more...
|
|
|
HOTUBA YA MAKADIRIO YA MATUMIZI YA FEDHA KWA MWAKA 2009/2010 |
|
Hotuba ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Mhe. Hawa A. Ghasia (MB) akiwasilisha Bungeni Makadirio ya matumizi ya fedha kwa mwaka 2009/2010. Tafadhali bonyeza hapa kusoma zaidi >>> |
|
Last Updated ( Saturday, 27 June 2009 )
|
|
| | << Start < Prev 1 2 3 4 5 6 7 8 9 Next > End >>
| | Results 1 - 4 of 34 |
|
Events Calendar
 |
February 2010 |
 |
|
Upcoming Events
There are no upcoming events currently scheduled.
Who's Online
We have 6 guests online
|